Happy birthday Monalisa, mkali kitambo

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Muigizaji wa Bongo movie Monalisa usiku wa leo atafurahia siku yake ya kuzaliwa ndani ya Club Legends karibia na best bites ilipokuwa nyumbani lounge.

Kutakuwa na burudani ya B band ya Banana Zoro na baadae mabingwa wa kupiga muziki Bongo DJ JD na DJ Mafuvu watafanya usiku huu kuwa wa kukumbukwa.

Happy birthday superstar Monalisa....View attachment VID-20180817-WA0005.mp4
 

Mazee hapo Legends ndo kiota chako nini?

Ngoja nitatafuta weekend moja nitie timu hapo...
 
Mazee hapo Legends ndo kiota chako nini?

Ngoja nitatafuta weekend moja nitie timu hapo...
Mzee sisi wa kitambo ndio tumejichimbia hapo ....unakula bia huku zinagongwa deep oldies and old skool
 
Great day for our superstar Monalisa ...
 
Hbd hurrem hahahahah amenifanya nimpende vyema baada ya kuigiza sauti ya hurrem kwenye sultan
 
Dj JD ,Dj Mzee kuliko Madj wote Afrika......talalalaaa aha ohoo
 
Monalisa bonge la toto,rangi kali nashukuru sana alivyomnyima utamu king crazy GK nakuitunza kwa ajili yangu
 
Forever young....huyu dada hazeekagi wallahi , she always looks young compare to her age utadhani bado yupo 20's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…