Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
On Tha way[emoji125]
Nimeandika story mpya kwenye thread ya chit chat
Karibuni sana msome
Ipo kwa jina la Hapoy Birthday Money Penny
Thank you
Dah.... [emoji13] [emoji13]Ngoja mida ya wanga ipite
Na muda wa maiti kujigeuza makaburini upite...Ngoja mida ya wanga ipite
[emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji115]Na muda wa maiti kujigeuza makaburini upite...
Happy belated birthday my luv
Sio kwa dude hili khaaaaaa nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Thank you DarlingHappy belated birthday darlin
Umeona eeHahaha Malkia wa nguvu kakutana na Mwanamke wa shoka
Asante sana boss kushiriki. Wakaribishe na wengineDuuuuuuh patamu hapo palipoishia jamani
Ahahaha weweee acha uchokoziMonney penny...hapa namkumbuka sean connery,roger moore, pierce brosnan, na daniel craig.....ila monney penny genye zitakuua..in the movies lkn
Hongera na ucjali mama!Ahahaha weweee acha uchokozi
Me mwenzio mjamzito ivooo nakaribia kushusha kiumbee