SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Muhoozi kazaliwa Sinza Dar, dada yake Natasha kazaliwa KCMC Moshi kipindi Museveni anafundisha Chuo Cha Ushirika.Museven alimzalia Moshi huyo na Dada yake wana vyeti vya kuzaliwa vya KCMC
Hatutaki huo upuuzi hapa Tanzania. Acha watu wenye uwezo wapate nafasi sio dynastiesLuteni Jenerali Muhozi asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa nderemo.
Kianzio cha taarifa hii kinapatikana hapa
Happy Birthday, Mr(almost) President Muhozi
Wakati wa sherehe yake Lt. Jenerali alielezea kuwa vijana waliotelekezwa wawezeshwe na yuko tayari kulifanyia kazi suala hilo.
Bofya chini kwa maelezo zaidi.
Muhozi anaelezea siku yake ya kuzaliwa (miaka 48)ni nini na ina maana gani
Vyanzo: Uganda Monitor
na theAfricanreport
Je kwa jinsi siasa za kikanda zinavyoenda/endeshwa, kuna uwezekano nako kuwe na Mh. R Kikwete, Ivan Cyomoro Kagame, na Lt Jenerali Muhozi kuwa Maraisi huko tuendako-miaka15 hivi baadae?
Mh Mujozi alizaliwa Dsm ....Ocean RoadMuseven alimzalia Moshi huyo na Dada yake wana vyeti vya kuzaliwa vya KCMC
Na Katiba ya Uganda inataka rais see lazima ndani ya Uganda.So kijana hua anadanganya amezaliwa Uganda.Muhoozi kazaliwa Sinza Dar, dada yake Natasha kazaliwa KCMC Moshi kipindi Museveni anafundisha Chuo Cha Ushirika.