[HASHTAG]#watu[/HASHTAG] wa Aina yako wanazaliwa kwa nadra sana.
Umekuwa Rais wa mioyo ya wanyonge.umeirudushia Tanzania heshima na utukufu wake!
Umekuwa msemaji wa wale wasiokua na sauti, na sasa dunia nzima inalitaja jina lako.
Ufalme, uungu watu na utukufu waliojivika watanzania jeuri kwa sababu ya madaraka umeutwaa na kumrudishia MUNGU.
Heshima kwako JPM,sifa kwa taifa zima-Tanzania, na utukufu kwa MUNGU aliyekuleta duniani Tarehe hii.
Happy birthday Mr president,may you live long son of Africa.
Lengai ole sabaya