God is great...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini bado kidogo kufika 1st June, nimekumbuka tu kwa vile kesho hatutumii malailoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mkuu...
If I can turn back the time [emoji173][emoji173][emoji178][emoji7][emoji8]Waoooh mzee baba uishi miaka mingi
[emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday Mshana
[emoji123]Happy Birthday Mshana ...
Mo Lifee
Mlozi au tabibu!Mloziiii wa Jf
Trust me haitafanya kazi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Happy birthday kamanda naona umezaliwa siku ya marufuku ya Rambo
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji108]Miaka 10000000 yotee #Mshana jr
[emoji123][emoji120]Hongera kaka!
Nini haitafanya kazi? Hiyo marufuku? mbona Kenya na Zanziberi wamewezaTrust me haitafanya kazi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwakuwa imeanza siku yangu ya kuzaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]Nini haitafanya kazi? Hiyo marufuku? mbona Kenya na Zanziberi wameweza