ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #141
Chukuchuku 😅 ila birthday boy🤣🤣Leo nimekuwa na siku nzuri sana.. Siku ya kwanza ya wiki na siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.. Kiroho ina maana kubwa sana
Asanteni sana wote kwa kunipa furaha (chukuchuku😂) let love lead😍
Nimeamua kuwarudishia zawadi ya hizi mada mbili lama ukumbusho wa hii siku muhimu sana kwangu
1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili, jambo hili linajidhihirisha kupitia matukio yasiyoelezeka ya vifo vya ghafla au ajali mfululizo kwenye familia au maeneo ya biashara. Uchawi hutumia damu hizi kuweka vizuizi vya kisheria vinavyomfunga mtu asiondoke kwenye umaskini au magonjwa, kwani ufalme wa giza huamini kuwa pasipo damu hakuna makubaliano yanayoweza kusimama imara.
2. Kufunga na Kuzuia Hatma (The Law of Binding and Destricting...
- Mshana Jr
- giza kiroho mambo ulimwengu ulimwengu wa giza
- Replies: 119
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Happy to see u too mjukuu!Shikamoo babu happy to see you 😊
🙏🙏Happy to see u too mjukuu!
Happy birthday Mr Mshana Jr , have a good one mdau...Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima
I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success
Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨
Guys nisaidieni kum wish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
Unaachaje kitu ambacho kinakupa furahaSaadi huujaacha tu beer
Haya endelea 👌Unaachaje kitu ambacho kinakupa furaha