Happy birthday Mwamba Ollachuga Oc.🤣🤣

Happy birthday Mwamba Ollachuga Oc.🤣🤣

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,569
Reaction score
24,812
Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂

Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa 🤣🤣🤣.

Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti kinoma.

Afu uwezi amini kiutani utani eti Nina watoto watatu dah🤣🤣
Wawili mapacha na mmoja Yuko pekee yake. Sijaoa bado nakula maisha na ma Kid zangu😂😂😂

Aiseee leo nina vibe kinyama HAPPY BIRTHDAY TO MEEEEEEEEE
 
Hapi basidei braza shabiki mwenzangu wa ung'ombeNi huu wa mwaka kombe la epL likuja zizini darajaNi
 
Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama [emoji23][emoji23]

Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti kinoma.

Afu uwezi amini kiutani utani eti Nina watoto watatu dah[emoji1787][emoji1787]
Wawili mapacha na mmoja Yuko pekee yake. Sijaoa bado nakula maisha na ma Kid zangu[emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseee leo nina vibe kinyama HAPPY BIRTHDAY TO MEEEEEEEEE
Chugaaaa

Hahahah!
Kaka wa Chelsea..
Ghafla nimekumbuka yule jamaa aliyekuzima hela.

Happy birthday mwamba..safari hii CFC mnyanyue kwapa.
 
Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama [emoji23][emoji23]

Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti kinoma.

Afu uwezi amini kiutani utani eti Nina watoto watatu dah[emoji1787][emoji1787]
Wawili mapacha na mmoja Yuko pekee yake. Sijaoa bado nakula maisha na ma Kid zangu[emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseee leo nina vibe kinyama HAPPY BIRTHDAY TO MEEEEEEEEE
Kumbe hilo tambi la bure ni dogo sana haha.
Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom