OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
ChugaaaaAise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama [emoji23][emoji23]
Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti kinoma.
Afu uwezi amini kiutani utani eti Nina watoto watatu dah[emoji1787][emoji1787]
Wawili mapacha na mmoja Yuko pekee yake. Sijaoa bado nakula maisha na ma Kid zangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee leo nina vibe kinyama HAPPY BIRTHDAY TO MEEEEEEEEE
Kumbe hilo tambi la bure ni dogo sana haha.Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama [emoji23][emoji23]