Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
a.k.a scofield wa bongo...malizia
Hiyo ni MCS au MSC? Mwana Fa ana Master of Science?
miongoni mwa wasanii wa bongo mwenye roho mbaya,ndo maana akitabasamu anakuwa kama bushman
Kwenye muziki jamaa anaweza,ila kwenye swala la Uruge anaweza zaidi.
Mitch...
Leo ni bday ya EMCEE WITH AN MCS, HAMIS CORLEONE MWINJUMA (MWANA FA).
Ujaaliwe busara katika kupambana na maisha yako.
Hope umewasamehe vinega kwani nao wameshaenda kumpigia magoti Ruge kama PNC kwa Ust. Juma.
KEEPING THE GOOD MUSIC ALIVE