Daby si ndo yule dogo aliyejiteka? Ulikuwa hujui?hivi Daby yupo kweli?[emoji20]
Hapo ashindwe tu mwenyewe kwenye umaliziaji.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]Mwifwaaaaaaaa
Ukiwa hivyohivyo au without??Hahahaa. Sio kwa kuniumbua huko Babu. Lol. [emoji85] [emoji85]
Naomba nikusalimie.
Itakua ni SINYORITA..... tehteehhh[emoji13] [emoji13]Hivi happy birthday kwa kispanyola natakiwa nisemeje?[emoji12]
nilikuwa sijui asee, lkn si amesharudi kwao?Daby si ndo yule dogo aliyejiteka? Ulikuwa hujui?
Hahaaa. Hivi hivi babu.Ukiwa hivyohivyo au without??
Watu na bahati zao wallah.....[emoji39] [emoji39]Mimi sio yeye ila ni msemaji wake kwa leo [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijakupa vizuri mkuu japo nimecheka hivyo hivyo!!Happy birthday Mwifaa endelea kutumia ndom ili tuendelee kukuwish
Nshakuja mdogo wangu.happy birthday mdogo wangu wa damu rafiki angu kipenzi udug wetu mim na dad hajar ALLAH akupe maisha marefu yatakayompendezea Mola wetu karibun wana jf woteeeeee leo tumeandaaa swadak kidog kwa ajili ya ndugu yetu huyu mahala pa sawadak atalika dada hajar cc hajar njoo utoe mualiko huku
Maandalizi yapo mdogo wangu ni wao tu macho na masikio kuyaelekeza ndani ya huu uzi.nipp dada maandaliz bas ili wana jf wajongee tupate nao chochote baadae
haya dad tunakusubiria na mdog wako anavyosumbua hapa anatak tukafanye maandaliz mapema sijui tunataka kutambulishwa wifi yetu rasmi maan simuelewi sio kwa kero hiz mwambie dad hajar aje harak hahahahNshakuja mdogo wangu.
Kuna jambo namalizia hapa halafu ntakuja rasmi tuwapashe wapi ndio makutano yetu kwa siku ya leo ili tupate kumshukuru Allah kwa kumjaalia mdogo wetu Mwifwa afya na uzima tele.