Happy Birthday my dear Chachu Ombara

Happy Birthday my dear Chachu Ombara

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
AISEE HII KALI YAANI KUSAHAU GANI HUKU AU NDO NIMEUPIGA MWINGI

Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako MY DEAR wa kumoyo

Basi wadau na wapenzi na marafiki za Chachu Ombara mtakieni heri Mr Wangu Chachu yaani atashangaa kuona kabest kake kamemkaukia hahahaaaaa

enjoy your day bestito

CAKE.jpg
 
Back
Top Bottom