hahahahahahahahhhahahaahhahahNAHUJA sumu sana yle !mm siwez kamwe kumtambulissha kwa Paschal(mume) wangu!hafaiii!teh jokes
Ulipitwaa na shemela kakaa siku nne Rock city now tupo jiji la Makondasafi sana
Mtarudi lini Mwanza? hahahaUlipitwaa na shemela kakaa siku nne Rock city now tupo jiji la Makonda
Mwezi wa 8 tena atakaa 1 monthMtarudi lini Mwanza? hahaha
Ni mrefu mweusi, ana kamzuzu? hahahahahahhah. kama yuko hivyo weka mbali na mie nitakupora. hahahahahaahhahahahahMwezi wa 8 tena atakaa 1 month
Hutoniibia?maana ni bonge la bwana mpaka unaniona nimekolea ujue ni bonge la bwanaa
Hehehe ni mrefu halaf rangi kama ya dhahabu mengine sisemiNi mrefu mweusi, ana kamzuzu? hahahahahahhah. kama yuko hivyo weka mbali na mie nitakupora. hahahahahaahhahahahah
ahahahahahahhah, sawa basi sitakuibiaHehehe ni mrefu halaf rangi kama ya dhahabu mengine sisemi
Basi subiria sio sasamademu bwana....hata mimi huwa nina ekti uromantic hivyo hivyo then nakumwaga.........
Alivyo mzuri sionyeshi mtu hamchelewii nyie anaemjua ni mmoja tu humu rafiki yangu,,,,ahahahahahahhah, sawa basi sitakuibia
πππππAlivyo mzuri sionyeshi mtu hamchelewii nyie anaemjua ni mmoja tu humu rafiki yangu,,,,
akitabasam ni kama anakuita hivi aku zile lips nimezinyonya kweli amini sijakuangusha japo shoo ni ya kibabe nimejitahidi[emoji23][emoji23]
Asante my KapeaceKwanza happy birthday
Pili hongera kwa kupendwa shoga
Tatu najisikiaga raha mtu akiwa hivyo ulivyo unajihisi kumiliki dunia nzima upo huru uko mwepesii utamu wa mechi yake sasa km nawaoneni
Mwisho mada zako zile uziache sasa tupe raha km hizi tudolishie ili na sie tuhamasike dunia ndo hii hakuna dunia ingine, fanyaneni mpk vichemke akuache mwepesiiiii
Mi nataka mada km hizo za kutudolishia mnavyopendana yaani hizo zingine zipumzishe kidogo hebu shusha mambo ya mbebisho wa shem wetuAsante my Kapeace
Yap maisha mafupi acha nifurahie tu
Mada zangu nitaendelea kama kawaida maana hata yeye anazipenda zinamfurahisha pia kasema hataki kuingilia uhuru wangu kanipenda nilivyo mimi kama Mama Sabrina hataki eti niache kutoa mada kisa nimempata yeye,,nitashusha vitu soon sasa yupo karibu acha nimjali kwanza
Hahahhhh unataka watu wasiojulikama wafe maana nataka nipunguze kumsifia asijevimba kichwa bure ila yuko vizuri sana kwa kila kitu tabia,mapenzi,muonekano wote tunajiuliza kwanini hatujakutana zamani ,nalipenda mpaka natetemeka huwezi amini nimerusha majiMi nataka mada km hizo za kutudolishia mnavyopendana yaani hizo zingine zipumzishe kidogo hebu shusha mambo ya mbebisho wa shem wetu
Halafu umeniita km shemeji yako MY KAPEACE
adolay
Umejisikiaje ulivyoyarusha??Hahahhhh unataka watu wasiojulikama wafe maana nataka nipunguze kumsifia asijevimba kichwa bure ila yuko vizuri sana kwa kila kitu tabia,mapenzi,muonekano wote tunajiuliza kwanini hatujakutana zamani ,nalipenda mpaka natetemeka huwezi amini nimerusha maji
Yes My kapeace[emoji23][emoji23]
Umejisikiaje ulivyoyarusha??
We msifie tu mi napenda kweli unajua kubebisha aisee nimesoma nikawa km naangalia tamthilia vile mpk unafumba macho kwa raha, kupendwa raha