Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ndo uchumba hatihati tayariHahaha...
yule mama atanitoa roho
nimejaribu kumtafuta
lakini simpati
Nahisi kaniblock!
na upo tayari hilo litokee?Ndo uchumba hatihati tayari
Benny umemuovertake Paulo Sergio De Souz au ni mapenzi ya mwendo kasi tu?Okay na kwa niaba ya familia ya
Benny na Heaven Sent wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa Evelyn Salt!
HS hope una jumapili njema!
Kabinti kangu hako mahari yake nshaanza kuipanga sahiviHappy birthday rafiki!...... Salimia hako katoto kako kazuri hapo kwenye avatar yako ulichokadownload google! [emoji1]
Kaka angu mie bado mdogo ndo nafikisha 22.....Umefikisha miaka mingapi?
Evelyn yaliyopita si ndweleBenny umemuovertake Paulo Sergio De Souz au ni mapenzi ya mwendo kasi tu?
Hahaha...kwa hiyo umri wako si wa mwendokasiKaka angu mie bado mdogo ndo nafikisha 22.....
Umri wangu unarudi nyuma kama wa miss Tanzania lol
Mmmh tulifunga na kuomba, tulikesha tunaomba mke mwema leo wasema sio official?Evelyn yaliyopita si ndwele
Paulo hakuwa Official
na sio vyema kujadili hayo[emoji4]
mie siti mtemvu na binti sepetu miaka yetu imeweka pause tehHahaha...kwa hiyo umri wako si wa mwendokasi
Washilagha!!mie siti mtemvu na binti sepetu miaka yetu imeweka pause teh
yameshapita hayo EvelynMmmh tulifunga na kuomba, tulikesha tunaomba mke mwema leo wasema sio official?
Okay napenda kuwaashukuru sana kwa salamu zenu ahsante familia ya Benny na Heaven Sent ahsante pia familia ya Paulo Sergio De Souz na Heaven Sent nawashukuru sanayameshapita hayo Evelyn
nipo mimi sasa,
samahani hatukukufahamisha mapema
Benny umemuovertake Paulo Sergio De Souz au ni mapenzi ya mwendo kasi tu?
Ndoho natale.....Washilagha!!
Bro unatafuta kuumia moyoHapa inabidi Heaven Sent aje aweke bayana kwa kweli. Kama ni Benny au Paulo.
Ha ha ha ha ha hatareeee. Gelofriend na mimi nyoka alinirubuni tu, nikaona ghafla cheating imekuwa nature yangu lol. Nishakuwa queen mswatiOkay napenda kuwaashukuru sana kwa salamu zenu ahsante familia ya Benny na Heaven Sent ahsante pia familia ya Paulo Sergio De Souz na Heaven Sent nawashukuru sana