Happy birthday Mzigua90

Happy birthday mzigua nakupenda tu

Mungu wetu akutunze
Amina mpenzi. Nakupenda pia
Happy birthday kwako mzigua90
Asante mkuu
Huyo muhimu,.mpe taarifa tuu mapema,.
Keshasoma hapa bby wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe tena ningeshangaa usingetaja hivyo vitu ebu muulize mzigua inakuwaje simsomi kabisa
Hahahahaa. Unanichonganisha na mkwe wangu wakati unajua siko mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni mwehu mpaka mchango wa harusi
Etiii
Halafu sikusomi nundu zinalika leo kweli
Mfyuuu
Wooooozeeeer mbona kisu kikali
Chake butu ndo maana kawa mpole
Uwiiiii nitakufwa mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woooooozeeeeerrrr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww acha mambo zako tuma mahela
Aanze kutuma
Utani utani kumbe watu mnakulana kweli woiiiii
Hahahahaaa. Kwahiyo naliwa eeh?
 
Kwani kitu gani kuliwa jamani mbona kukulana ni kawaida tu kitu hulipii vat
 
uishi miaka mingi mke wangu, kila siku nakuona kama mpya nashukuru kwa zawadi hii ya kipekee jioni nitakulete funguo ya zawadi yako muurua kabisa nimeaandaa kwa ajili yako,, natamani wanaume wote wa humu wafe wote isipokuwa mimi,,tubaki mimi na ww
Asante hubby. [emoji849][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…