Unataka uone uchi chit chat ili iweje?Tunagombania na nani tena sijaona uchi chit chat mie
Nataka kutoa cash mimi situmi jamaniZawadi jamani
Ndugu yangu hukawii kunizima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye zawadi za hela zikufikie nimejikuta nacheka
Nitakupa taarifa wapi nipoTupo wapokeaji uko wapi tukufate
Cash mpe Shualina atanifikishiaNataka kutoa cash mimi situmi jamani
Asante my dearHappy Birthday Mzigua.
NdiyoNitakupa taarifa wapi nipo
sipo hapa kujibu maswaliTunagombania na nani tena sijaona uzi chit chat mie
Mhh![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Tupo wapokeaji uko wapi tukufate
Mkuu naona uwajibikaji unaendeleaHahah!!
Mkuu mkuu
HatariMahela yawe mengi mengi sio nafunga safari napewa mahela kiduchu
Mahela mengi ndio yanaanzia mangapi kwa mujibu wa kamusi ya hesabu?Mahela yawe mengi mengi sio nafunga safari napewa mahela kiduchu