Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Si ndiyo huyu alienda kuomba radhi, akachukuliwa kavideo kwenye jua kali mpaka anaingia Ikulu, daah wanasiasa mkipata nafasi wekezeni hata kidogo mnajidhalilisha sanaBaba yake alikuwa Brigedia Jenerali tena mshauri wa Rais masuala ya siasa.
Yeye akasoma Mzumbe na masomo ya juu zaidi India. Akawa mkuu wa Wilaya, katibu itikadi na Uenezi CCM kisha akawa Mbunge na Waziri.
Mzee wa goli la mkono, leo ametimiza umri wa miaka 44.
View attachment 2002374
Alitembezwa kwa miguu jua Kali kutoka geti la ikulu mpk State House huku camera zikimmulika kumuaibisha,Nape anamwambia nisamehe baba nimekosa Sana,Magu naye anamjibu Nimekusamehe lkn kusamehe kunauma jamani,πππ.Si ndiyo huyu alienda kuomba radhi, akachukuliwa kavideo kwenye jua kali mpaka anaingia Ikulu, daah wanasiasa mkipata nafasi wekezeni hata kidogo mnajidhalilisha sana