Happy birthday Naseeb a.k.a Dangote, sijui yeye Atapewa PrivateJet leo

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Leo ni birthday ya kijana anayesumbua Mziki wa Bongoflavour Kwa sasa,kijana mwenye mafanikio kupitia sanaa ya Muziki Msanii wa kwanza kuwa nominated bet,Mtv mama Mtv Europe.

Haya Mr billion moja kwenye account Kupitia Bongoflavour a.k.a baby ake Madam Wema.
 
mwe.......dimond kazaliwa tarehe moja na mwanangu...?

Mwanao wa kike au wa kiume? Kama wa kiume atakuwa sukari ya warembo...jipange kulea wajukuu....( just kiddin madam)

Happy birthday to that little sweet baby....!
 
mwee kumbe B day zao zimefuatana?? kweli hapa kazi ipo, huyu nae anafunga miaka mingapi??? ngoja wadaku tuelekeze antena IG
 
Tunasubiri maubuyuu hapa hapaaa

Waandishi wetu kutoka pande za IG msisite kutuhabarisha.
 
Heeeee nasubiri mapichaaa mie,Shigongo atazid kua bilionea aiseeee maana atauza nagazetii tukio moja story 200 dadekiii mjini mipangoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…