Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 116
Ukiwa Mwanaume bana! Yeye atapigwa busu tuu hakuna morano. Hiyo ndio 50:50
Swali la kizushi
Hivi alivyokuwa anaishi tandale alikuwa anajua birthdaya ni nini?
Ndukiiiiiii
Mwanao wa kike au wa kiume? Kama wa kiume atakuwa sukari ya warembo...jipange kulea wajukuu....( just kiddin madam)
Happy birthday to that little sweet baby....!
HBD to ya baby
Kwahiyo mwanao diamond? (utani tu)
hhahaaa.....baby boy......natamani awe padri......
hhahaaa.....baby boy......natamani awe padri......
Heheheh birthday hii haina maua kitandani
Mhhhh busu tu
yani ni mwendo wa BMW tu.maua waachie nyuki
hahahaha mna mnamanaeno!!!yani ni mwendo wa BMW tu.maua waachie nyuki
Swali la kizushi
Hivi alivyokuwa anaishi tandale alikuwa anajua birthdaya ni nini?
Ndukiiiiiii
mwe.......dimond kazaliwa tarehe moja na mwanangu...?
Umenichekesha sanaJe inaongeza thamani yoyote katika maisha ya mwanao? (Huu ni Utani pia, Usije ukanitolea povu bure)