Inanambo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,039 Reaction score 2,840 Oct 5, 2014 #61 baby atampatia zawadi ya ndege ulaya. kama magari anayo sasa watazwadiana nini kipya zaidi ya ndege ulaya ndogo. ah hawa vijana wana pesa balaah. ndoa yao sijui itakuwaje siku hiyo
baby atampatia zawadi ya ndege ulaya. kama magari anayo sasa watazwadiana nini kipya zaidi ya ndege ulaya ndogo. ah hawa vijana wana pesa balaah. ndoa yao sijui itakuwaje siku hiyo
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,528 Oct 6, 2014 #62 DUH!V sasa ni shida....
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Oct 7, 2014 #63 Tyta said: DUH!V sasa ni shida.... Click to expand... Hivyo viatu angevaa mtu kama Linda mguu umejaa ingekua ni shidaaaa
Tyta said: DUH!V sasa ni shida.... Click to expand... Hivyo viatu angevaa mtu kama Linda mguu umejaa ingekua ni shidaaaa
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Oct 8, 2014 #64 Heaven on Earth said: mimi na nani???????????? Click to expand... Tehe tehe aisee..peke yako.