Happy birthday Noela William Malecela

Status
Not open for further replies.
hivi lemutz siyo yule nilimuona jana Magomeni hata kuvuka barabara anatembea kama kobe!
 
Kuna wanawake hawajafundwa sielewi kwanini mama wa mtoto kuleta matatizo ya familia kwenye social media,maana hata Insta kafanya hivyo...
 
tycoon la bongo lililokimbia na hela ya michango ya kumuoa msomali
 
baba makorokocho,full busy le dnt town born hapa hapa u know,sasa wewe mtu kikombe cha chai mkononi,mouse huku,headphone kule miwani ya jua ofisini.kuna concetration kweli kwenye kazi hapo,ama kazi ni hiyo instagram.halafu zile kopo za cola ulienda kuomba waandike jina lako hujanywa tu.
Haya bwana le kubwa jingaz,binti huyo kakua bana tegemea kajukuu soon.
halafu umefanana na idd amini ujue,ndio maana sishangai viroja vyako.
 
Mama na baba mkwe msitupiane maneno mitandaoni jamani.....happy birthday my mbebez Noela

I'm humbled
u know
 
case unajidhalilisha kuleta ugomvi wenu hadharani,mbaya zaidi kumhusisha binti yenu kwenye mtafuruku huu. Anahusikaje kwenye sakata lenu,unamtumia mtoto kama fimbo ya kumchapia baba yake. Ni ujinga na upumbafu,unamdhalilisha Noela.
Wewe si mlezi mzuri.
 
Mkuu kuna haja ya kutukana namna hiyo?maisha ya le mutuz yana kuhusu nini?wewe ungekuwa una concetrait usinge kuwa hapa jf unapoteza muda kutukana watu usiowajua..if u think u r better than le mutuz and others then good for u!chuki hazijengi!
 
Tena angalia hili babu rojorojo nyemtumbo ana wish watoto wa wanaume wenzie happy birthday na wa kwake hata sms ameshindwa duh kweli huyu baba swalehe View attachment 319557
Huyu baba swalehe alimkimbia mke huyo mtoto alikuwa na miezi sita tu bava swalehe huwa anamuona kwenye picha tu na mitandaoni.


swissme
 
W.J.Malecela, acheni kuleta maugomvi yenu wenye social media, mnawafundisha nini watoto wenu? Sio sawa mnavyofanya. Mligombana mkaachana so what? Acheni hayo!!
 

Kama wewe sio mkewe Maantiki ya kuleta uzi huu ni nini? Au ndiyo Ngoma apigiwe mwengine viuno unakata wewe. Jitafakari mwache alieachwa alete uzi wake humu au kuwa mkweli MAYBE UNATAFUTA GIA YA KUWA NA MAHUSIANO NA HUYO BABA SWALEHE NA HII NDIYO UNAONA NTOKE VIPI.

Wewe kama ni mwanaume utakuwa Kanye west #FingersInTheBooty
 


- Last night at the Double Tree Hilton Hotel Masaki with my baby hahahahahaha nakura maisha tu wewe piga piga kelele mpaka utachoka hapa ni kazi tu na life kwenda kwa mbele hahahahah

le Mutuz
unajiaibisha sana na hayo mapicha yako na makahaba
 
Mkuu kuna haja ya kutukana namna hiyo?maisha ya le mutuz yana kuhusu nini?wewe ungekuwa una concetrait usinge kuwa hapa jf unapoteza muda kutukana watu usiowajua..if u think u r better than le mutuz and others then good for u!chuki hazijengi!
kuna tusi hapo,wabongo mkiambiwa ukweli mnaita matusi
 
Mleta mada anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na badala ya kumshauri mnamsifia.ugonjwa wa akili si lazima ukae uchi.
haiwezekani utoe picha kumpongeza binti yako halafu utumie tukio hilo hilo kumdhalilisha baba yake.
Nahisi uzungu umekubadili kiasi cha kukosa maadili ya kiafrika hata huyo binti utamuharibu tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…