Kijana huyu OSITA IHEMA ambae huwa anaigiza mara nyingi na patina wake Ihinedu Ikedieze (AKI), leo ijumaa anatimiza umri wa miaka 34 huku akiwa location anashoot movie.
Ukwe, ambae pia ni mmoja kati ya washindi wa tuzo za uigizaji, atasherehekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na washabiki wake katika kijiji cha Obeagu Enugu.
Hapa yuko kikazi zaidi...
MUNGU akupe maisha marefu brother..
NOTE.. WASANII WETU WA BONGO MOVIE HAWANA UMRI SPECIFIC