Happy birthday pakajimmy

Baba Askofu, ukiona vyema, waweza kuniruhusu niwe mhesabuji wa sadaka?

:confused2:... :nono:.... ukionyesha ushirikiano wa kutosha unaweza kupewa konsidaresheni...
 
Hongera PJ, Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na afya njema. Ubarikiwe sana

Annina
 
:confused2:... :nono:.... ukionyesha ushirikiano wa kutosha unaweza kupewa konsidaresheni...
Ntaanza ushirikiano kwa kukusaidia kuwachunga kondoo wako.... Hasa wale walionona mikia.
 
Ntaanza ushirikiano kwa kukusaidia kuwachunga kondoo wako.... Hasa wale walionona mikia.

He he heee... haya bwana... cha muhimu uhakikishe tu usalama wao, wasijeliwa na mbwa mwitu...
 
He he heee... haya bwana... cha muhimu uhakikishe tu usalama wao, wasijeliwa na mbwa mwitu...
Mbwa mwitu hawana mamlaka mbele ya mchungaji msaidizi wa askofu. Watashindwa na kulegea magoti, meno na makalio yao....
 
Huh...this's the best of the days to me!...maana parents wangu walinisimulia kuwa ndo niliyozaliwa!...Lakini bado nauliza swali...How to count my age?..is it from the day i was conceived, or the day i was born?I might be older than iam said to be!!
so when u was conceived PK....
 
Mbwa mwitu hawana mamlaka mbele ya mchungaji msaidizi wa askofu. Watashindwa na kulegea magoti, meno na makalio yao....

πŸ˜›ray2:... Roho mtakatifu anatenda kazi...:amen: (bado ya kuachisha watu kudumisha mila)
 
Tatizo unafikiri ile kadi ya harusi ya Msindima ndio ya birthday ya PJ!!! Umeumia magotini dada!

Lets wait and c kama ni yenyewe, kama hujanikuta nimewahi ukumbini.

PJ please confirm time.

πŸ˜›ray2:... Roho mtakatifu anatenda kazi...:amen: (bado ya kuachisha watu kudumisha mila)
Kanisa lako lina EXIT? Naona kama nimeingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa

Lets wait and c kama ni yenyewe, kama hujanikuta nimewahi ukumbini.

PJ please confirm time.

Uje single tafadhali (nami ntakuwa single)πŸ˜›arty:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…