Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Goli dhidi ya Barcelona OT tunawapa moja bila kiumbe huyu wamuache aliyoyafanya mengine ni yeye mwenyewe aliyafanya kuanza kumfananisha ni kuharibu ladha.Guys leo ni siku ya kuzaliwa kwa kiungo bora wa kiingereza wa muda wote Paul Scholes.
Amefikisha miaka 44 leo, unakumbuka nini enzi zake akicheza?