Leo hii umetimiza miaka 69 tangu kuzaliwa kwako pale Nine miles St. Anne Bay Jamaica.
Unakumbukwa na mamilioni ya walalahoi na wapigania haki huku duniani. kwa sisi Rastafarians, tunaamini bado haujafa ila umepumzika tu katika bustani ya Sayuni.
JAH BLESS YOU and I