asante sana kwa niaba
Bantu Ladu asante japo queen siyo Yanga
ni rahisi ngamia (oooops Ng;ombe huku kwetu) kupenya kwenye tundu lla sindano kuliko queen kan kwenda Yanga...sio wifi BantuLady wifi ni wewe kwake kama mambo yataenda sawa................Hahahahaaa Amavubi bana, mbona ni kazi rahisi kumvuta awe Yanga. Subiri utaona, ndio my wifi nini? Sasa hata utambulisho hutoi.
ni rahisi ngamia (oooops Ng;ombe huku kwetu) kupenya kwenye tundu lla sindano kuliko queen kan kwenda Yanga...sio wifi BantuLady wifi ni wewe kwake kama mambo yataenda sawa................
hadi kuwa mama facebook si mchezo
utakua ni mama wa majimama
sawa siri ya mtungi aijuaye kata