kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
View attachment 355078
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mke wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, mama Regina Lowassa.[/QUOTE
Nawwka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo.... lowasa hakustaafu uwaziri mkuu alistaafishwa kwa ufisadi wa richmond
Nilikuwa nadhania huyu ndio mama yake.Kumbe huyu Msingida wameanza mbali yaelekea mama Fred alipatiwa mke mwenza siku nyingi!
kama co laana ni nn aloo..au imeshakula mombe mingi unasema likutokalo tu!lowasa anajua kuchagua vyombo vya ukweli me na umri wangu mdogo akinipa gemu nampakua wallah
Mama yake Fred ni Bi mkubwa, na mmasai. huyu Regina ni bi mdogo na mtu wa SingidaNilikuwa nadhania huyu ndio mama yake.
Nmeifuma kwenye facebook page ya Mzee Lowasa..[emoji57] View attachment 354981
Ukinitoa mmHappy birthday first lady wa mioyo ya watanzania
Pumbavu mkubwalowasa anajua kuchagua vyombo vya ukweli me na umri wangu mdogo akinipa gemu nampakua wallah