Happy Birthday Reginald Mengi - Kliynn

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo huyo bidada hao mapacha alizaaga na bw Machache.......?

jaman "love of my life"
kina madame iliishia wapi.....
 
Kazaa nae....
Hata mzee akienda safar za nje ya nchi mara nyingi bibie yu pemben yake.
Chezea bwana machache!
cc Heaven on earth
 
kazi kazi kweli kuandika aandike yeye kama tunda ale yeye kuchonga tuchonge sisi haya majanga ah majanga.
 
Matajiri kwa kujilia vitu vizuri tuuu, wamejAaliwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Matajiri kwa kujilia vitu vizuri tuuu, wamejAaliwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

hata wewe unaweza kujilia lakin principple ni moja aliisema Marehem Mangwair

"Mambo 5 muhimu ya kumfanya demu wako akupende kwa dhati 1.Mpe hela. 2.Mpe hela 3.We mpe hela. 4.Nakwambia mpe hela. 5.We mpe hela tu utaona"

Hicho ndo anachokifanya bwana Machache hadi anaambiwa love of my life
 
katika kile ambacho kinaonyesha kuwa ni surprise......................msanii na aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000 amempongeza mzazi mwenzie Mh Reginald Mengi MKURUGENZI WA MAKAMPUNI YA ippm na kumpa happy birthday kwenye tweeter


 

Attachments

  • 480.jpg
    26.6 KB · Views: 7,551
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…