tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kwa huyu ni sawa na Pongezi Mwatoa , Kwa Kamatika ohoo Mume Wa Mtu ! WANADAMU :hatari:
Mke yupo afya tele hayo ni maneno ngoma ipi tena au mnanda
Ninazo kibao, yeye tu, ni suala la kuongea na mimi kiutu uzima tu, wala sina tatizo
Wewe c nilikwambia nina namba ya martin kadinda n ommy dimpoz ukazikataa binam??
Wewe c nilikwambia nina namba ya martin kadinda n ommy dimpoz ukazikataa binam??
Binamu hao hata kwa virungu sitaki... aaku..wao wenyewe wanasubiri kupewa.
Kwa hiyo akuinamie ndio umpe auu??? Mpe banaa
Hahahahaaaa.....hujaiba makabrasha ya warumi ukamsachi? Tumlie timing aisee