Ukisikia maisha ya kifungoni ndo haya..binti maisha magumu ameona bora aishie hapa kifungoni ila moyo wake anajua mwenyewe uliko dah.... such a beauty young women kujiweka mahala hapa ni uoga wa kufulia ama?. Anyway she claims she loves him and we have to support her whether wanaendana or not ndo washaamua wenyewe and its official sio siri tena.
Binti ana life insurance....if she is happy we dont know.
I might be wrong but hii kitu sijui kwa nini inanikumbusha uhusiano wa Donald Sterling (80 yrs old) owner wa LA Clippers and his girlfriend V. Stiviano (30 yrs old)... demu kamchuna babu wa watu alipotosheka akamset up na kumrekodi kama mbaguzi babu wa watu soon atapoteza kila kitu including his LA Clippers.