Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
doh hatareeYani wema asije kufa kabla me sija piga nae picha ooooooh. Mara n ndoto kesho kutimia hahahaha
Nataka kula nae dinner uuuuh I love her perfect pitch. Mwaaaaa mwaaaaa.
No matter pple judge her negative but still in ma heart. (In my girlfriend voice)
KHA!Happybirthday nyumbu
dAH WE NAWE UNAJUAGA KUKURUPUKA....... miaka zaidi ya 70 kwenye ndoa.
ndoa ipi ya sepetu unayozungumzia ?
Weka hapa tuone basPole sana, Mi nilipiga nae mwaka 2015
akili za mademu bwanaHili swali sijui bkzo ur being an ignorant
hapana mimi ni Mmarekani Mweusi kama Janeth Jackson
Habari za CHIU YANGU utazipata kwa mume
vp kwan umenuna mimi kuongea sana? - PASUKA Oooo
Kama za wanaume wasiojielewaakili za mademu bwana
Mwanaume huwa hafananishwi na vitu vya ajabuKama za wanaume wasiojielewa
hahahahhahaha yaani nimecheka kwa nguvu ujueMwanaume huwa hafananishwi na vitu vya ajabu
Duuh haya kicheko huongeza sikuhahahahhahaha yaani nimecheka kwa nguvu ujue
AKIWA WA AJABU HUFANANISHWA NA VINGI TUMwanaume huwa hafananishwi na vitu vya ajabu
MAMBOZ[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa labda unaokutananaoAKIWA WA AJABU HUFANANISHWA NA VINGI TU
baridaSawa labda unaokutananao
Ni full haina dasi arifubarida
gwan!Ni full haina dasi arifu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi money penny ni mtanzania kweli
maana hata huyo mdogo wako kwenye mamuvi yake huwa anaongea kama unavyoandikaga thread zako.
Wewee[emoji23] [emoji23] [emoji23]