Happy Birthday Riyama

Hahaaaa hv kwa mfano mke wako akikuita Mario mpo tu wawili we mwanajf utajiskiaje??

We mwanamke Wa jf utajiskiaje mtoto wako akitwa Mario na mwali wako mkiwa watatu tu?

We mtoto utajiskiaje baba ako akiitwa Mario mbele ako?

Da mwani nakupenda sanaaaaaaa hakuna bongo muvi km wewe
Happy birthday to you

Ashakum si matusi........waislam tunaruhusiwa kuolewa na tuliowazdi umri.sio umario,sitamani urudie kumuita hivyo mumeo,ungemuita ata laazizi inni mkalia nyongo mbona ngekuelewa lakn si hilo.sikuchagulii la hasha ni maoni tu
 
Hivi hawa wadada wa mjini kutoka na vitoto ni fasheni mbona sielewi. Kuanzia Wema, Wolper, Uwoya, Shilole na wengine wengi ni vitoto tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…