Happy birthday Ruge Mtahaba

Happy birthday Ruge Mtahaba

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu?
 
Hivi kumtakia heri ya kuzaliwa mtu ambae amekufa huwa mnakuwa mnamaanisha nini,? Naonaga imekaa km kufuru, ingekuwa unakumbuka siku ya kufa kwake

Hai- birthday
Mfu- deathday
 
Let the dead with their stuffs alone. Kaza buti na wewe ufanye kwa kiasi chako
 
Pongeza za birthday mpaka kwa waliolala mkuu?
Maisha magumu kwa hao wafanyakazi wa Tanzania ndio maana mpaka Marehemu wanamtakia heri ya siku ya kuzaliwa.

Ebu muulize sasa ametimiza miaka mingapi hapa Duniani kama atakupa jibu.

Mishahara ya wafanyakazi ni Ile aliyopandisha mara ya mwisho Rais kipenzi cha Watanzania wa awamu ya 4.
 
Nilivaa viatu vya ruge kwa dakika pindi nasoma thread yako .Nimevutiwa na uzalendo hakika
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba aka Ruge Mutahaba.May he continue to rest in peace . Pengo lako halitozibika kamwe. Tasnia imepoteza .
Natamani kuipata Video ya mazishi

Ruge
R.Mengi
JPM
B.Mkapa
 
Back
Top Bottom