usiwape ndioBasi siwapi
Shuniesakayo anakana
wivu ni kidondaHii thread ifungwe ni nonsense
hela ndogo hiyo aweke malakiSitakiiii
Asantenakupenda pia jamaan
Karibu ucheze kwaito mwezi sept mkuu..JF bwana, sakayo kiuhalisia ni mke wa mtu. Ila hapa jf ni mke wa mtu mwingine.
Kidume trans umetumia muda wako nguvu zako kumtungia mke wa mtu mashairi(nimewanza nje ya box kama kigwangwala)
Ndo kikulacho hichoHuyu achana naye leo si bethdei bwana kesho tutamkumbushia.
Ila wewe ni nooma. Kumbe jana ulikuwa unanisoma hata kuongea neno.[emoji57]
Sijawahi kukasirika wala kuchukulia serious ishu nyingi za JF kihivyo.Hahaha
Yaani wewe, basi utaendelea kuonewa tuu
hahahha no nimesoma leo ndio nimeona mnafukuzwa bamdogoHuyu achana naye leo si bethdei bwana kesho tutamkumbushia.
Ila wewe ni nooma. Kumbe jana ulikuwa unanisoma hata kuongea neno.[emoji57]
Love you more baba D wangu.....My life is incomplete without you..
You are so special to me!
Mke mwenye busara zake! Mke mwenye moyo wa upendo..!
Love youu my omotola!
muwowane tu hakuna namnaKuwowana huko vipi
10000. Wewe 5 sakayo 5. Sasa sadaka unataka Mtoe laki. Acha nibaki na pesa yangu.ndogo tunagawanaje elf 5
Basi Yaishendiwooo unachomfanyia ni kizuri sasa
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173][emoji8][emoji8][emoji8]
mwezi wa 9 kuna nini tenaMwezi wa 9 sio mbali ujue
AbeeShunie
Naanzaje kumwacha kwa mfano..... Makapuku mlivyo na fujoo si mtaninyonga hadharani mieee.....sio vizuri ujue unavyomfanyia ukimwacha tutaandamana makapuku wote