Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Natamani ungekuja bhanamimi apa Dada kuna nini kwani
Yaani sijui utanizaaMme wako si mbishi analeta za kichuga hapa
Kuweka naweka hela yako baki nayo naogopa hela za watu mie kasoro za Baba D wangu tuUkiweka weka na ile namba yako ya Tigo...
Nikutumie 50, 000 ya wine chaaap
Sitaki za kudownload mieNakutumia nzima
Sa Unacheekaaa nini THahahaaaaa
Naumwa hata kwenye kipaimara nashindwa kwenda leoNatamani ungekuja bhana
Nikuzae vipiii yanYaani sijui utanizaa
HahahaUkiweka weka na ile namba yako ya Tigo...
Nikutumie 50, 000 ya wine chaaap
Mpelekee Baba D anipeMwache....next week nikienda mjini nitampelekea yake..
KweliMwache....next week nikienda mjini nitampelekea yake..
Kho Kho KhoKuweka naweka hela yako baki nayo naogopa hela za watu mie kasoro za Baba D wangu tu
Mungu wanguSitaki za kudownload mie
Karibu kwenye uzee sakayoThanks Antonio
Be blessed