zimefika rafiki hivi upoFrom the distance kwa niaba yangu mimi na shunie namtakia dada yangu Mrs T happy birthday!
Nigawe kwa Bhakresa basi, Mengi kawowahahahhh nakugawa
Ha ha ha haaaa ujue wewe jamaa ni noma.Haha.
Yaani hauoni post yangu ila unaona za watoto wa kike? Hahaha. Au hii teknolojia inabagua.
Badohivi alinijibu
Kamchagua nani?Nigawe kwa Bhakresa basi, Mengi kawowa
Technology haitawaacha warembo salamaHaha.
Yaani hauoni post yangu ila unaona za watoto wa kike? Hahaha. Au hii teknolojia inabagua.
Wewe sio wa kwetu.Milele Amina
Rafiki nipo, siku hizi umenitupa mbali sana mwana wa mtu!!!zimefika rafiki hivi upo
Ha ha haTechnology haitawaacha warembo salama
Sijuii anataka kunigawa kwa nani, mie nimechagua tuuKamchagua nani?
[emoji15] [emoji15] kwa T ndio basi tenaNigawe kwa Bhakresa basi, Mengi kawowa
Ipo geto. Mtume shuniie aje aichukue. Mwambie aje mwenyeweSawa kaka, iko wapi vilee
Hahaha[emoji15] [emoji15] kwa T ndio basi tena
Leo wapi sasa sio unajiongelesha jiongelesha tu. Sema wazee tunapoenda kupata vituTechnology haitawaacha warembo salama
Mchonganishi upo?[emoji43][emoji43][emoji43]Ahhhhh.
Wewe jamaa ndio una ride hii kitu makini shunie?
Sitaki kuamini aisee
kwahiyo mmeanza ubaguzi wote si wa moja? [emoji2] [emoji2] nimecheka aisee ndio mana sijakujibu tena nilishangaa ujue au nimekuwa paw wa 2 bila kujijua ujue cheo kikubwa hiki yaan msiombee nitawapa ban kila sikuWewe sio wa kwetu.
Halafu kule ndiyo ulikuwa unanitishia ama. !mamdogo umekua