Ewaaaaa....
Asante sana MkuuMaisha marefu kwako
Ewaaaaa....
Msisahau kubeba zawadi
EeeehhhHahahhah ww ndio hatujakuona we baby vipiii
Usisahau mimi ni Lipumbavu kutokea Jalalani...
Na ndugu yangu Watu8 ana File Mirembe...
Tukikusanya nguvu wallah utamfuata Ben Saanane popote pale alipo
Asante sana kakangu jamaniiiNadhani hatutasahau.
Tatizo wewe ulienda gesht haushi wakati sisi tulikuwa kanisaniHahahhah ww ndio hatujakuona we baby vipiii
Ni angalizo tu... ili upepo ukimpitia ajue Maendeleo hayana vyamaNdo nini eti