UwiiiiiHahahhaha mdakachozi sijaamini nilivyommiss sasa
Happy Birthday.. May the Dear God Almighty give you many more happy returns of the day. Stay blessedThe sweet words from you is my biggest gift on my born day, dear dada I mean I say!
You truly made my born day with the sweet words of yours, just like how chocolate enhance the taste of dessert, same way your wishes enhanced my born day!
I feel really blessed, thank you for your lovely wishes for my birthday Shunie!
Will always love you!!
Hahaha hahaha hahahaShemeji yangu jamani huyo
Khaaa unataka ufafanuzi wa nn, we bday girl unazaliwa leo mbona unakuwa mbea mbea
AbeeAsante nipo namsubir hapa tuwekeane mikataba ya kibiashara ndio tuje kujumuuika hapo
Kiwanda kipo wapi etiNdio ujue mwekezaji wa uhakika
MmmhNifungue mara ngapi jamani ipo wazi
Sio mimi meandika jamaniii...Ushawahi nilipia hata twisheni lakinii...au kizunguu tuu!!!!
Hahahhahah mda ule upo kitandaniLugha hiyo Dada. Mpaka nikaangalia muda alioandika nikaona ni saa sita na kitu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nikabaki naufurahia tu huo muda kwani kinge kinakuwa kile cha ndani ndani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lugha za watu hizi Dada. πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulikuwa kama mm dada
Sio mimi meandika jamaniii...
Mbona mnanikausha mate dada
Hahaha hahaha hahahaHahahaaaa. Itakuwa muda ulioandika nao ule kwani huwa akili inakuwa imetulia jirani. [emoji3][emoji3][emoji3] ndio sababu ukakimwaga kiinglish cha kufa mtu. lol. Tena kile chenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi nilisahau mimi jamaniii!Kwakweli hujawahi nipa salaam za mdakachozi