Tena hapo nina masaa matano kitandani mana huwa nalala kama Kuku.Hahahhahah mda ule upo kitandani
Hahaha hahaha hahaha hahahaHahhahahha usiniambie unaanza kufukua makaburi hivi mda wote ulikuwa wapi
Sawa sakayoAbee
Hahaha hahaha hahahaYaani kizungu kigumu kuliko maisha yanguuu
Kipo hapa kibamba upande wa pwani si unajua pwani ni mkoa wenye viwanda vingi vipyaKiwanda kipo wapi eti
Hahaha hahaha hahaha hahaha[emoji3][emoji3][emoji3] Umeonaeee. Mie nimebaki nasoma neno moja moja huku nagoogle kupata maana kisha nikaunganisha ndipo nikapata nini anamaanisha. Teh teh
Sakayo umetisha. [emoji23]
Bando lenyewe mpk tufike gugo jamani,hatutendei hakiii huyu Dada![emoji3][emoji3][emoji3] Umeonaeee. Mie nimebaki nasoma neno moja moja huku nagoogle kupata maana kisha nikaunganisha ndipo nikapata nini anamaanisha. Teh teh
Sakayo umetisha. [emoji23]
Sawa nimekumbuka cheo kimoja ni kama nimewahi kuhisi anacho ila hiki cha pili nilikuwa sijuiVyote
Hivi ulisoma kweeli...Ebu shangaaaa anataka tuchoshane tu