Hahaha hahaha hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]bora kafanya hvyooo... Bando shida ,mambo magumuu!!!
Ngoja tusome ya tupate sote
Sawa mkuuEwaaaaa
Keki nawaleteaHapana mpk keki
Mmmmmh wewe mwenyewe auHappy birthday babe..
Tukakae leo basi tukate cake ya Sakayo.Hembu organize tukae tena kwakweli shem.
Nilale saa hizi nina raha gani mpenzi?? Nimetoka sokoni nlikua naandaa mbogaAtakuwa amelala huyu shem
Mimi kabisa mimi.Mmmmmh wewe mwenyewe au
Jirani jirani...Kabisaaaa. [emoji3][emoji3][emoji3] Mana alishatuwacha.
AmennnnNipo kwaajili ya kuona unapata furaha itakayo kuongezea miaka ya kuishi ndani ya hii dunia
Sawa kakake Mimi jamaniNitakuleta usijali sakayo
Nilale saa hizi nina raha gani mpenzi?? Nimetoka sokoni nlikua naandaa mboga
Wengine ndo wanakwepa!hahaha embu anza na wengine
Si unajua hii ya kwakngu ni lazima uipate
Sina paku ikwepea mama ake.
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaKweli tena si uongooo!!fenti fodiii hatujui siyeee
Sawa mremboMimi kabisa mimi.
Yeye alivyo ,ππ ila mahela ni ingredients ya yeye alivyo, nimeeleweka sijui mimiπππUnazungumzia hela ya Tanzania au kwacha ya Zambia
Ulimpendea hela au yeye alivyo
Natania tu
Hatimaye umekuja sweetheart...Happy birthday babe..