Mkuu hio vipi..Sawa mkuu
Wapi huko etiTukakae leo basi tukate cake ya Sakayo.
Kwanza imekuaje leo umeingia huku ex boo??
Nimeelewa kwa herufi tataYeye alivyo ,😛😛 ila mahela ni ingredients ya yeye alivyo, nimeeleweka sijui mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha hili la kila mtu yupo mbelezWengine ndo wanakwepa!
Kila mtu leo hayupo Tz, mnataka nilieee
Duuu nisamehe bureMkuu hio vipi..
Wataka ninyima nini jamaniii
Atubariki sote kaka!Wakuu niwatakie jion njema majukumu mema nashukuru kwa ushirikano wenu nilipo kosea tusamehane
Maana nimefurahi kujumuika nanyi ndugu zangu tuombeane uzima tukipata kibali tujumuike kwa namna hii
Mungu awabariki ndugu zangu
Hata mimi jamaniiiBora umekuja Mpenzi..Mimi na shemejio Shunie tulikumiss sana..
Amen dada upendo daimaAtubariki sote kaka!
Tunakupenda!
Hahaha hahaha hahahahahaha hili la kila mtu yupo mbelez
ni la moyoni kabisa naliona mama ake!
Mpaka keki ndo nakusameheDuuu nisamehe bure
Hata mimi nimekumiss wewe jamani.Bora umekuja Mpenzi..Mimi na shemejio Shunie tulikumiss sana..
Nilitamani kuliaHahaha hahaha hahaha
Usinikumbushe jamaniii... Ilikuwa kiama
Sawa birthday Girl..Ngoja tukuletee Keki .Hata mimi jamaniii
Auntie wangu jamanii!Auntie hope sijachelewa keki[emoji85][emoji85]
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi, panya mla vitenge vyangu. Nakupenda hivyo hivyo tafanyaje sasa na ndio mzigo wangu[emoji134]
Muumba mbingu na nchi akujaalie kila lililo kheri mama yangu, na uzidi kuwa na hekima na busara na uwarithishe na wajukuu zangu(speaking of wajukuu mwambie na Shunie msinitanie kabisaa nawahitaji wa kutosha hivyo anzeni kazi).
Yaani acha kabisaaa!Nilitamani kulia