Kitambo tu mkwe,niko mjiniKwani umesharudi
Nimekumiss mchuchu nani amekuteka hivi
Eeeenh kumbe napitwa hivi
Li nchi lenu hili mchuchu na life yake tyt mbaaya
MuhimuuInabidi tukomae hivyo hivyo mchuchu
ππππ aina hii yaukaribishaji unamajibu yote yaliyofichikaNjoo huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio nakugeuzia kibao jamani mm nikitoka kwenye jiji la bashite nipo tanga kwetu usinifanyie hivyo insta babe