Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Dah hiyo,miaka kama design ya Sepenga
Acha uchawi huyu jamaa hana miaka 23 labda kama ni 28
Mkuu unafahamu kilichomkuta yule Kitasa wa Super Eagle,Taribo West?jamaa alipunguza miaka almost 25.Wewe ni mzazi wake?
Mkuu unafahamu kilichomkuta yule Kitasa wa Super Eagle,Taribo West?jamaa alipunguza miaka almost 25.