[emoji23][emoji1544][emoji1550]Semegi Mshana Jr kumbe una besidei na husemi!!
Kijana Tyson Ndunguru rafiki wa MC Joel aliyejirusha toka ghorofa ya 7 na kufariki naye Ametoweka ghafla mara Baada ya kifo cha Joel na hajulikani alipoKuna habari ya yule mtu aliyejiua kwa kujirusha, sasa inasemekana kuna rafiki yake wa karibu kapotea tarehe 26, akiaga kwenda kwenye msiba ya huyo rafikiye, we ndo unajuaga kutuhabarisha hebu ingia chimbo
Haina kabaya MzeeKijana Tyson Ndunguru rafiki wa MC Joel aliyejirusha toka ghorofa ya 7 na kufariki naye Ametoweka ghafla mara Baada ya kifo cha Joel na hajulikani alipo
More updates baada ya birthday party
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua maana ya seniority ya mtuunamkosea sio senior member ni platinum member.
Thatha wewe mpare thi utheme ndg yako anatimiza miaka mingapi?Leo ni siku ya kuzaliwa Legend Mshana Jr Tumtakie heri kwenye siku yake Leo.
Older than yesterday, younger than tomorrow.
Happy birthday mkuu.
Eswa [emoji173][emoji419][emoji375]Better late than never; Happy belated birthday Mshana Jr Allah akupe maisha marefu