Hahaha hahahaHahhaha sidhani kama ni yeye
Baadae ukishasahauuEbu utag
Wewe ndio mkubwaAnao kumi kidogo
Jamani si unaona hapo lakini alivyoushikiliaHahaha hahaha hahaha
Hivi upojeee
Nishasema Shunie apambane na khali yakeYa nini sasa wakati shunie anaandamana humu
AbeeeeeeeeSakayo
Si mpo majirani ukoMwambie huyoo.. Hajaamua tuu kunitafuta
Hatakiii majiNdo nishakuagizia maji!!
😀😀😀😀😀😀😀😀 mimi ntakua wa mwisho kuwatofautisha nyie@Sakayo &@Shunie nadhani tumeelewanaHahaha hahaha hahaha
Huo ubabe ni wa hater kabisaaa!!!
Hahhahah ikuume kwa nini jamani mshipa wakeMi hapana roho itaniuma
Hahhaha eti roho itamuumaEeeehhh
Hutaki kujua tenaa
Hahaha ametishia kunireport kwa mods kuwa avatar yangu inamnyima amani akiingaliaNishasema Shunie apambane na khali yake
napendaga kusema wapi zaidi ya hapa tu? usinilishe manenoHivi lakini unapendaga kusema una ids nyingine ebu nitajie basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaan wewe sakayo akiwa na Shadeeya unasema multiple I'd na mm tenaMbona unamsemea we vipi?? Au ndo Ma I'd yenu hayo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
EwaaaaaNamtumbo
Nini mbaya tenaKheeeeee
Huyo shetani ashindwe kwakweliHahaha hahaha hahaha
Asishindwe bwana, tumuombee abadilike