Sisi ni mmoja ujue
Thank u Antonio [emoji8][emoji8][emoji8]Hbd to you beautiful
Jamani jamaniiHahahhah unanifurahisha sana acha tu nijichekee
Naanzaje kukusahau sasa kwenye tag we kaa tayalimambo mengine ntakuja ukapukuni ngoja tuendelee kupokea wishes
tags muhimu tho, sijasahau unajua
Asantee dearAsante shangazi yake shunie nakupenda pia [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ndiwoooooo hahahhahahHata mi naona kwaiyo hata nikitongoza mmoja ndo nimetongoza wote sio?
Sijui hataaaAtakipata wapii jamani
Ndiwoooo mshipa wake mtuHahaha nyie ni wamoja sio
Hhahahha eti cha peke yakeSijui hataaa
KhaaaaDada jamani
Asante sana Jason usituonee wivu bwana
Umeonaeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu mmoja ids mbili
Huku na huku jamaniKazi gani
Khaaaa kinakuja na ndege au hivi wax si elf 30 we dadaHuku sijui ni lakii
Kwahyo wewe ukiliwa na Sakayo naye automatically anakuwa ameliwaNdiwoooo mshipa wake mtu
Hahaha hahaha hahaha hahahaMbona unamsea au amekutuma?
Zote utakuja kuchagua mwenyewe upendazoAsante mchuchu [emoji8][emoji8] zawadi gani hiyo ya kufata getto