HahahahahahahahAje tu hapaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo nilivyoamka kukutana na mitext yako ya usiku mnene kumbe mlikesha wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka kwa nguvu mmSina bahatii mieee
Ebu ngoja tumsubiriYupo busy
Hahhaha nipo dar bwana ila nimekuja kutolewa kuanzia asubuhi tanga hiyooo vipiiiiShunie ananiambia kenda tanga etiii
Hahhaha ngoja akuje jamaniAaache usanii mzee kakaaa
Jamani text 100 kidogoHahahaaaa!!mapopooo
Yupo busy etiMnangoja meli ubungo atiiiii
Walaaa huwezi amini ujue sina hata moja labda jioni uko au usiku mamaLooohhh!!!!wewe huyo mpk sasa uko Heineken ya Ngapi?
Looohhh!!!!wewe huyo mpk sasa uko Heineken ya Ngapi?
Kwakweli ni maajabu makubwa hata hamu ya beer sina kabisaLeooooo....maaajabu