[emoji8][emoji8][emoji8] Asante babe wangu, kivuruge wa kwangu tu mimi si unajua vile nakupenda babe Mungu wetu azidi kutuweka tu [emoji120][emoji120] wapiii Tater #teamarosto#Kivuruge wangu mimi,kipenzi changu,ndugu yangu na rafiki yangu kipenzi uliyekuwa nami tangu siku ya kwanza naingia jf hadi leo,nakupenda sana tena zaidi ya sana na zaidi nakuombea kila la kheri katika maisha yako na mwenyezi mungu akutimizie kila hitaji la moyo wangu na akupueshe na mabaya ya dunia
Hahahhaha atuacheeeeeeEehhh!Kimya kimya no show off!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa...unavaa na picha wapiga daah!! Ukitoka hapo ushakua maarufu na folowaz unawapata fastaaa
Nakupenda pia kivuruge wangu mama k wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupenda sana kipenzi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Acha bwana maisha yapo juu mbona hapafananiiiAcha tu dear...ila huku kama naishi Masaki maisha yako juuu...mamaa weeeweee!!![emoji3][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupenda pia kivuruge wangu mama k wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Aiseeee kumbe pole mnooWeweee...usipime wangu!!!yaani huku balaa hua naenda mjini kufanga shopping huku nomaa
Na upepo hivi utake nini tena jamaniAhsante uzuri kumepoa mpk raha yaani no kelele!!!wala vurugu za uswaziii
Si ulijifanya kauzu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee wa Swaziland nimecheka sana sikutegemea hili jibu
Hahhaha na kweli umekua kauzu zaidi yangu we mzeeSi ulijifanya kauzu.
Nikaona niwe kauzu zaidi yako
Thanks babe [emoji8][emoji8][emoji8]Happy Birthday Beautiful
M/Mungu akutunze[emoji8][emoji8][emoji8]