Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hivi ulifika salama kweeli...
Leo ndo nakumbuka aki!

Huyo Shunie hajuagi hataa mtu akilia... Ila yeye akianzaga kunililia nambembeleza
[emoji3][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji3][emoji3]sakayo una nini yaani uniulize Leo kama nlifika salama...chaa...walinikabua..

Shunie alikua wawili kichwani mwenzio anaenjoy pombe we unajiliza hahaaa....mlevi si mtu atiii!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto bwanaaaaa!
Utoto...?!!mapenzi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]bibie...mziguaa ndo alikua busy kama wotee anacheza na kuimba na kula beer...chaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…