Its so touchingEver since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means!!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...
Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...
Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...
Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...
Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...
Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...
Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Hahahah mfyuuuHebu shangaa na wewe!
Ndo dada huyoooo
Acha kunibebesha lawama jamani we nimekubembeleza sana nimekufuta machoziSiku yako inakuja aki..
Hutoaminiiiii
Sifa ipii jamaniKo unaona sifa eeehh
Hahhaha nauliza tu na mm nijueHahaha hahaha hahaha
We nawe ni mnaaaaa.....
Akawa anawachora tu mtu na babe wakeAlikuwepo ndiwooo
Nikajua hajatuonaa
Hahahah na kuamka kwa kuniladhimisha niingie jf na nisingeingiaHebu hukoo
We leo umeamka saa tatu
Hahhaha nishalewa mimi mtu nakubembeleza hunyamaziWewe huyoo
Kubembelezwa gani kwa ukauzu... Mfyuuuuu
Mfyuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiii
Hahahah bundle ulipata wapi sasa lilivyoishaNikaanza kuimba nyimbo za dini
Hahahah ebu niambie anachodeserveUnadeserve100%
Hahhaha analia weeeh hanyamaziHahahaaaa!alikuudhi nini sasa!hujui maumivu ya mapenzi yanazidi ya kukakanyagwa na skuna
UlikeshaUshaamka?!!!
Hahahah alikua ananikata stimu tu mimi[emoji3][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji3][emoji3]sakayo una nini yaani uniulize Leo kama nlifika salama...chaa...walinikabua..
Shunie alikua wawili kichwani mwenzio anaenjoy pombe we unajiliza hahaaa....mlevi si mtu atiii!!!
Hahhaha ukawaacha mtu na babe wakeNilipita kama mshale mahaba hayaingiliwi
Mungu kweli ananiona lakini kumbembeleza nimembembeleza sana tu[emoji16][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji8][emoji8]Shunie Mungu anakuona ujue