Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Jana nilichelewa kuingia JF kwahiyo sikuweza kuwahi kwenye birthday yako Shunie

Naomba upokee birthday wishes zangu japo zimechelewa, maana hata wahenga walisema kawia lakini ufike

Mungu Akupe maisha marefu ukiwa katika afya njema na furaha tele katika siku zoote za maisha yako
 
Shukrani mnoooo zakazaka ubarikwe sana
 
[emoji3][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji3][emoji3]sakayo una nini yaani uniulize Leo kama nlifika salama...chaa...walinikabua..

Shunie alikua wawili kichwani mwenzio anaenjoy pombe we unajiliza hahaaa....mlevi si mtu atiii!!!
Hahaha hahaha
Kweli kabisaaa ndo nakumbuka aki, ulifika salama eehh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…